UTANGULIZI: Kikao cha kamati zote za PIUMA kimefanyika jana tarehe tajwa hapo juu kwa ajili ya kuwaelimishwa wajumbe wa kamati kujua wajibu wa kazi kwa kila kamati, kikao kilifunguliwa saa 4:00 asubuhi. Mwenyekiti aliwaeleza wajumbe kuwa tumetembelewa na mgeni toka Canada ambaye amekuja kututembelea, na mgeni huyu amekuja na vifaa vifuatavyo.